Add Your Blog | | Signup
CHEKA NA KITIME · 5M ago

KUMBE KISIRANI CHANGU KIMO KWENYE DAMU

Unajua binadamu mara nyingi hatujijui uwezo wetu mpaka litokee jambo la kutuamsha. Kwa mfano mtu hujui uwezo wako wa kukimbia mpaka siku ile unapotimuliwa na simba na ndipo hapo utakapogundu...
CHEKA NA KITIME · 5M ago

BABA KUNA JINI KABATINI

Mzee karudi kazini mwanae mdogo akamuwahi,DOGO: Baba usiingie ndani kina jini chumbani kwenuBABA: Hakuna kitu kama hichoDOGO: Kweli baba kuna jini liko kwenye kabati lenu la nguo....Mzee kai...
CHEKA NA KITIME · 5M ago

HOTUBA YA MAMA MKWE HALOOOO

Mi nadhani hizi  taratibu za zama zenu hizi za kuruhusu hotuba kutolewa kwenye sherehe za harusi zingeangaliwa upya, turudi kwenye taratibu safi za enzi zetu, ambapo hakukuwa na mambo ya hot...
CHEKA NA KITIME · 5M ago

HOTUBA YA BABA MKWE ILIKUWA YA MWAKA

Yaani baba mkwe katoa mpya juzi, mpaka sasa bado sijajua nicheke au nisikitike, maana nasema tena baba mkwe katoa mpya. Juzi Jumamosi tulifanikisha sherehe ya harusi ya mtoto wa kiume wa raf...
CHEKA NA KITIME · 5M ago

ASANTE SANA BWANA HARUSI

Unajua kila zama zina mambo yake , teknolojia nayo inasababaisha kuweko mambo ambayo wazee kama mimi tunabaki kushangaa tu nini kinaendelea. Katika jambo ambalo limefanya mabadiliko makubwa ...
CHEKA NA KITIME · 5M ago

MJINI KUMEJAA MACHIZI

YAANI hapa mjini ukipaangalia kwa makini unaweza ukajikuta unacheka peke yako barabarani watu wakadhani we chizi kumbe unakumbuka uchizi wa wakazi wa mjini. Yaani kuna vitu watu wanafanya ha...
CHEKA NA KITIME · 5M ago

USHAURI KWA WAPENZI WA ARSENAL

KIKUKWELI kwanza lazima niwape sifa wapenzi na mashabiki wa Arsenal. Hawa ndio wapenzi wa ukweli, sitaki kueleza kwanini lakini wenyewe wanajua.Hawajali jua wala mvua roho yao kwa klabu yao....
CHEKA NA KITIME · 5M ago

HATUKUBALI WAMETUBAMBIKIA ..................

TUMECHEZA kwa nguvu zote zile tukijua tunapewa SHIELD kumbe wametubambikia na wametupa SHEILD khaaaaCHEKA NA KITIME Swahili jokes from Tanzania
CHEKA NA KITIME · 5M ago

NAKULA CHOCHOTE

Baada ya kubembelezwa sana unamtoa mdada ‘out’, mnaenda sehemu mmekaa.Wewe: Ehe utakula nini switii?Mdada: ChochoteWewe: Nikuagizie ice creamMdada: Hapana meno yanaumaWewe: Haya wacha walete...
CHEKA NA KITIME · 5M ago

MADEREVA KAMA MNATAKA KUJIUA MSITUSHIRIKISHE

Nimewaza sana kuhusu madereva wa bongo, yaani kila nikiwaza najikuta jibu ni moja tu, madereva wa siku hizi ni tofauti sana na enzi zetu. Enzi zetu barabara zilikuwa nyembamba, magari machac...