Add Your Blog | | Signup
MALUNDE 1 BLOG · 1h ago

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMIS JULY 27, 2017

Magazetini leo Alhamis July 27, 2017
MALUNDE 1 BLOG · 6h ago

SERIKALI YAZINDUA JUKWAA LA USHIRIKA MKOA WA SHINYANGA

Mkuu wa wilaya ya Kishapu Nyabaganga Talaba akizindua jukwaa la vyama vya ushirika kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Telack.****Serikali mkoa Shinyanga imezindua Jukwaa la Ushir...
MALUNDE 1 BLOG · 10h ago

BUNGE LIMERIDHIA KUVULIWA UANACHAMA WABUNGE 8 WA CUF

Siku moja baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kupokea barua kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF Taifa anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili, Prof. Ibrahim Lipumba inayoeleza kuwafukuza uanachama Wabung...
MALUNDE 1 BLOG · 11h ago

WATU WAWILI WAFARIKI BAADA YA KULA UGALI WA MUHOGO, SITA WALAZWA

WATU wawili wa familia moja wamefariki dunia katika kijiji na kata ya Kisumba tarafa ya Kasanga wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa na wengine 6 kulazwa katika zahanati ya kijiji hicho baada ya k...
MALUNDE 1 BLOG · 12h ago

Picha : MGODI WA ACACIA BULYANHULU WALIPA SHILINGI MILIONI 460 YA USHURU WA HUDUMA KWA HALMASHAURI YA MSALALA

Kushoto ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa Bulyanhulu Graham Crew akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Ka...
MALUNDE 1 BLOG · 11h ago

MASHINDANO YA NDONDO CUP 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano kutoka Chama cha Soka mkoani Mwanza M...
MALUNDE 1 BLOG · 11h ago

MADIWANI WATATU WA CHADEMA WAJIUZULU NA KUTIMKIA CCM HAI KILIMANJARO

Wakati Wimbi la Madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujiunga na Chama ...
MALUNDE 1 BLOG · 11h ago

WAZIRI MWAKYEMBE AWASHUKURU WATANZANIA KWA USHIRIKIANO WALIOMPA MSIBA WA MKE WAKE

Leo Jumatano ya July 26 ikiwa ni siku 11 zimepita tangu utokee msiba wa mke wa waziri wa h...
MALUNDE 1 BLOG · 11h ago

USAJILI SIMBA, YANGA WAZUA UTATA

Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limezikumbusha klabu zote ambazo zinasimamiwa na shir...
MALUNDE 1 BLOG · 11h ago

SHAFFIH DAUDA NA WENZAKE WAKAMATWA NA TAKUKURU KWA RUSHWA

Wadau mbalimbali wa soka wakiwemo wagombea wa uchaguzi katika nafasi mbalimbali za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wamekamatwa jijini Mwanza.Baadhi ya waliokamatwa ni pamoja na Mtangazaji wa Clouds FM, Shaffih Dauda, Mwenyekiti wa Chama cha Soka Da...