Add Your Blog | | Signup
KINGOTANZANIA · 1Y ago

MAGAZETINI LEO

KINGOTANZANIA · 1Y ago

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR LEOMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitimiza haki yake ya kupiga kura katika kituo Namba 11 Shule ya Sekondari Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi A Mkoa wa Mjini Unguja kwa ajili ya Uchaguzi wa marudio unaofanyika leo March 20,2016 Visiwani Zanzibar.

KINGOTANZANIA · 1Y ago

Chama cha mapinduzi ccm chamteua CHRISTOPHER OLESENDEKA kuwa msemaji wa chama hicho nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Nape nnauye ambaye kwa sasa ni waziri wa habari.

KINGOTANZANIA · 1Y ago

KUONGEZEKA KWA JOTO

KINGOTANZANIA · 1Y ago

Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu Zanzbar asubuhi hii

KINGOTANZANIA · 1Y ago

TAMKO LA UMOJA WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA JUU YA KUTEKWA KWA MWANDISHI WA HABARI WA SAUTI YA UJERUMANI ( DW ) SALMA SAID.Salma Said mwandishi wa DW Zanzibar ametoweka baada ya kutekwa na watu ambao hawajafahamika jijini Dar es salaam, hali ambayo imeleta fadhaa na mshtuko kwa waandishi, jamii na familia yake  hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa marejeo Zanzibar. Ifahamike kuwa Kazi  ya mwandishi wa habari ni kutoa habari juu ya kila kinachoendelea katika jamii , hi...

KINGOTANZANIA · 1Y ago

MAGAZETIN LEO

KINGOTANZANIA · 1Y ago

MAGAZETIN LEO

KINGOTANZANIA · 2Y ago

JAJI MKUU OTHUMAN CHANDE ATOA SIKU SABA KWA MAHAKIMU 508 WATOE MAELEZO KWANINI WASIFUNGULIWE MASHITAKA KWA KUFANYA KAZI CHINI YA KIWANGO

                              Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam leo mchana , kuhusu utendaji...
KINGOTANZANIA · 2Y ago

GHALA LATEKETEA KWA MOTO NA MALI ZILIZOKUWEMO.

 Geti la kuingilia kwenye ghala lililoteketea kwa motoGari la polisi maarufu kwa washa washa likisaidia kuzima moto tofauti na ilivyozoeleka kuwa linatumika katika kuondoa vurugu