Add Your Blog | | Signup
KWA JOHN KITIME · 6h ago

SERENGETI BREWERIES LTD YAZINDUA BIA MPYA IITWAYO SERENGETI PREMIUM LITE

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka wizara yake, Leah Kihimbi (kulia) ambaye alimwakilisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa, Dk Harrison Mwakyembe aliyekuwa mgeni rasmi kati...
KWA JOHN KITIME · 4d ago

MAREKANI KUENDELEA KUSAIDIA WATU WA TANZANIA KUKABILIANA NA VVU/UKIMWI

  Serikali ya Marekani kupitia Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR), umeidhinisha mpango wa kutoa Dola za Kimarekani Milioni 526 katika kipindi cha mwaka m...
KWA JOHN KITIME · 5d ago

UBALOZI WA MAREKANI WAINGIA MAKUBALIANO NA ZIFF

U.S. Chargèd’Affaires Virginia Blaser and ZIFF Director Fabrizio Colombo LEO tarehe 17 May 2017, Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, umetiliana saini ushirikiano na tamasha l Zanzibar Inter...
KWA JOHN KITIME · 6d ago

NILIPOKARIBISHWA KAHAWA SHOWROOM YA MAGARI YA FORD

Leo nimepata bahati kubwa sana nimekaribishwa katika duka la kuuza magari aina ya Ford lililoko Mtaa wa Maktaba Dar es Salaam, nimekaribishwa kikombe cha kahawa ya maziwa na kuweza kuangalia...
KWA JOHN KITIME · 1w ago

RAIS DKT. MAGUFULI AIFUTA MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU CDA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

      . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya Rais (Presidential Order) kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio lililofanyika Ikul...
KWA JOHN KITIME · 1W ago

MAGAZETI YA LEO UINGEREZA NA TANZANIA MAY 10, 2017

                                                               
KWA JOHN KITIME · 1W ago

RAIS TRUMP AMFUTA KAZI BOSI WA FBI NA KUANZISHA ZOGO JINGINE MAREKANI

  James Comey Donald Trump kamfukuza kazi Mkurugenzi wa FBI James Comey, taarifa kutoka White House zinasema kuwa Mkurugenzi huyu amefukuzwa kutokana na ushauri wa Mwanasheria Mkuu Jeff Sess...
KWA JOHN KITIME · 1W ago

MAGAZETI 9 MAY 2017

                                                               
KWA JOHN KITIME · 2W ago

VIDEO: KONGAMANO LA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI, KITAIFA JIJINI MWANZA.

Fuatilia yaliyojiri kwenye Kongamano la Wanataaluma na Wadau wa Habari kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2017, lililofanyika kitaifa Jijini Mwanza.   Kilele cha Maadhimisho...
KWA JOHN KITIME · 3W ago

JISAJILI USHIRIKI DASANI MARATHON