Add Your Blog | | Signup

MAENDELEO VIJIJINI Maendeleo, Rural Development, Jamii, Social Issues, Tourism,

http://www.maendeleovijijini.blogspot.com
MAENDELEO VIJIJINI · 1d ago

MAMBO KANGAJA HUENDA YAKAJA, YANGA FADHIL BWANGA....

Yanga Bwanga (kushoto). Picha kwa hisani ya zenjdar.co.ukNa Daniel MbegaNAMKUMBUKA mtangazaji nguli wa kipindi cha michezo cha Radio Tanzania Dar es Salaam (RTC wakati huo - sasa TBC Taifa),...
MAENDELEO VIJIJINI · 3d ago

HOMA YA BONDE LA UFA NI UGONJWA TISHIO KWA WANYAMA NA BINADAMU

Mbwa aliyekufa kutokana na ugonjwa wa Homa ya Bonde la Ufa. UGONJWA wa Homa ya Bonde la Ufa (Rift Valley Fever) kupitia vyombo vya habari na kupitia Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (OIE) ...
MAENDELEO VIJIJINI · 3d ago

NYAYO ZA CHIFU MKWAWA: MUYINGA MUFWIMI AZALIWA NA KUKABIDHIWA UCHIFU - 3

Kaburi la Mtwa Munyigumba Kilonge Mwamuyinga lililopo katika Kijiji cha Lungemba. Na Daniel Mbega, IringaInaendelea kutoka jana...KWA bahati nzuri, binti huyo alijifungua mtoto wa kiume, hiv...
MAENDELEO VIJIJINI · 3d ago

NAWA MIKONO KWA SABUNI ILI UOKOE MAISHA

Na Elikunda MateruUSAFI ni jambo muhimu sana katika dira ya afya ya jamii ya kupunguza maambukizi na athari za maradhi. Kupungua kwa haraka kwa vifo vinavyotokana na magonjwa ya kuambukiza k...
MAENDELEO VIJIJINI · 3d ago

HII NDIYO ‘THRILLER IN NYAMAGANA’ ILIYOSABABISHA SHABIKI WA SIMBA AJITOSE KWENYE PIPA LA POMBE YA MOTO NA KUFA MWAKA 1974

Kipa wa Simba, Athumani Mambosasa, akiunyaka mpira huku akitazamwa na Kitwana Manara 'Popat' wa Yanga (kushoto).Kikosi cha Yanga cha mwaka 1973 kabla Dk. Victor Stanculescu (wa pili kushoto)...
MAENDELEO VIJIJINI · 4d ago

SOTOKA YA MBUZI - PESTE DES PETITS RUMINANTS (PPR)

UGONJWA wa Sotoka ya Mbuzi au 'Tauni ya Mbuzi na Kondoo' (Peste des Petits Ruminants – PPR) husababishwa na virusi na hushambulia kondoo na mbuzi ukiwa na dalili zote kama Sotoka (rinderpest...
MAENDELEO VIJIJINI · 4d ago

YANGA YAIBUGIZA SUNDERLAND 5-0 MWAKA 1968

Maulid Dilunga (kushoto) enzi ya uhai wake akiwa kamisaa wa mchezo wa soka. Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry.Na Daniel MbegaILIKUWA jioni yenye majonzi na simanzi kupindukia kwa wachezaji, vi...
MAENDELEO VIJIJINI · 5d ago

NAGANA (TRYPANOSOMIASIS) UGONJWA HATARI UNAOSHAMBULIA MIFUGO PAMOJA NA BINADAMU

Ng'ombe anayeumwa Nagana.NAGANA au kitalaam Trypanosomiasis ni ugonjwa ambao hushambulia karibu mifugo yote na pia binadamu. Kwa binadamu ugonjwa huu hujulikana kama malale.Ugonjwa huu husab...
MAENDELEO VIJIJINI · 5d ago

MIAKA 28 YA KIFO CHA FRANÇOIS LUAMBO MAKIADI

Na Daniel MbegaMIAKA 28 iliyopita, siku na tarehe kama ya leo (yaani Alhamisi, Oktoba 12, 1989) majira ya saa 1 asubuhi ndipo niliposikia taarifa kupitia BBC kwamba mwanamuziki nguli wa rhum...
MAENDELEO VIJIJINI · 6d ago

CHAMBAVU (BLACK QUARTER) UGONJWA UNAOSAMBAZWA KUPITIA KWENYE UDONGO

Ng'ombe anayeumwa Chambavu akiwa amelala. Picha ndogo inaonyesha kidonda kikubwa kwenye mguu kilichotokana na ugonjwa huo. UGONJWA wa Chambavu au Black Quarter unaoshambulia ng'ombe, kondoo ...