Add Your Blog | | Signup
MPEKUZI · 2h ago

Jenerali wa Jeshi Ateuliwa na Rais Magufuli Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

Raisi John Magufuli leo August 21, 2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).Uteuzi wa Brigedia Jen...
MPEKUZI · 4h ago

Mbunge Msukuma Kamjibu Tundu Lissu Kuhusu Ndege Kukamatwa Canada Kisa Deni

Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma amefunguka na kusema kuwa Rais Magufuli hausiki katika sakata la kuvunja mkataba ambao umepelekea ndege ya Tanzania  Bombadier Q-400 Dash 8 kush...
MPEKUZI · 5h ago

Ester Bulaya Ahamishiwa Bugando

Mbunge wa  jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Wila...
MPEKUZI · 7h ago

Heche Awavaa Wanaomponda Tundu Lissu kwa Kuisema Serikali

Mbunge wa Tarime Vijijini kupitia (CHADEMA), John Heche amefunguka na kuwachana baadhi ya wasomi wa nchi na serikali ambao awali waliibuka na kudai Tundu Lissu amehongwa na wazungu na kusema...
MPEKUZI · 7h ago

Madereva Daladala Kituo cha Simu 2000 Wagoma

Baadhi ya madereva wa daladala zinazotumia kituo cha mabasi cha Simu-2000 Mawasiliano kuon...
MPEKUZI · 4h ago

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Gazi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa ...
MPEKUZI · 7h ago

Serikali yaanza kuzihakiki NGO

Serikali leo imezindua rasmi zoezi la uhakiki wa mashirika yote yasiyo ya serikali (NGO) n...
MPEKUZI · 8h ago

Rais Magufuli Akutana Na Rais Wa Shirika La Kimataifa La Maendeleo La Japan (Jica) Ikulu Jijini Dar Es Salaam Leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 21 Agosti, 2...
MPEKUZI · 8h ago

Jipatie ofa ya kitabu cha PRESIDENT WIFE....Ni Riwya Kali ya Kusisimua

WEEKEND YAKO KWA NINI IWE MBAYA. OFA HIZI ZA VITABU VINAKUHUSU WEWE MSOMAJI WANGU WA NGUVU.Jipatie ofa ya kitabu cha PRESIDENT WIFE(Shadow of D.F.E) kwa sh 5000 kupitia mitandao ya Whatsapp 06570725588 na Email 
MPEKUZI · 8h ago

Picha: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akiwa Shambani Kwake Chalinze

Rais mstaafu wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete ameendelea na kuwekeza nguvu zake katika kilimo wakati huu ambao amestaafu majukumu yake ya Urais.Rai...