Add Your Blog | | Signup
MUZIKI MUZIKI · 1W ago

RATIBA YA MSIBA NA MAZISHI YA MKE WA WAZIRI MWAKYEMBE

Mke wa mheshimiwa Waziri wa habari Utamaduni na Michezo, Dr Harrison Mwakyembe, Bi Linah Mwakyembe amefariki usiku wa kuamkia jana Jumapili, katika hospitali ya Aga Khan Dar es Salaam alikok...
MUZIKI MUZIKI · 1W ago

KWANINI NYIMBO ZA ZAMANI ZINA MAISHA MAREFU?

Mara nyingi sana nimeulizwa na kwanini nyimbo nyingi za zamani bado zinadumu, wakati nyimbo za siku hizi zinakuwa na umaarufu wa muda na kupotea?  Nimeshaulizwa swali hili na wapenzi wa muzi...
MUZIKI MUZIKI · 2W ago

BELLE 9 ATOA KIBAO KIPYA ' MFALME'

 BELLE 9 ametoa kazi yake mpya inaitwa Mfalme, Isikilize hapa baada ya kusikiliza akijibu maswali ambayo ameulizwa kuhusu kazi yake hiyo..............................................MASWALI...
MUZIKI MUZIKI · 2W ago

MALKIA VANESSA MDEE AFANYA KAZI NA MFALME PETER WA P SQUARE

Mara baada ya kumaliza kushiriki kuigiza kwa mara ya kwanza katika katika tamthiliya  ya MTV, inayoitwa SHUGA,Vanessa Mdee ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Kisela. Katika tamthiliya hiyo ya...
MUZIKI MUZIKI · 1M ago

VIJANA WA TANZANIA HUENDA WAPI KUPUMZISHA AKILI BAADA YA SAA ZA KAZI?

AWALI HAPA PALIKUWA NA JENGO LILILOITWA  NYUMBA YA SANAA WASANII WENGI WALIKUWA WAKIFANYA ...
MUZIKI MUZIKI · 1M ago

TID VS QUICK ROCKA-MTANGAZAJI WA MILLARD AYO AMEPOTOSHWA KUHUSU SHERIA YA HAKIMILI

   Katika video hii mtangazaji anadai kuwa aliwauliza wanasheria wanaofahamu 'mambo kama haya' akimananisha haki za msanii katika sheria za hakimiliki. Na mtangazaji akadai kuwa aliambiwa ku...
MUZIKI MUZIKI · 1M ago

TARATIBU ZA KUJIUNGA NA COSOTA

MUZIKI MUZIKI · 1M ago

NIDHAMU KATIKA UENDESHAJI WA BENDI, TATIZO SUGU KWA BENDI NYINGI

Miezi chache zilizopita rafiki yangu mmoja alinambia ameamua kuunda bendi mpya kabisa, ali...
MUZIKI MUZIKI · 2M ago

SANAA YA TANZANIA NI TAMU LAKINI WASANII WENYEWE WANAIKWEPA NA KUTHAMINI YA NJE

MUZIKI MUZIKI · 2M ago

MUZIKI NA FILAMU NI NDUGU

MUZIKI na filamu ni ndugu, japokuwa muziki ulikuweko kabla ya filamu. Filamu za kwanza zilipoanza kutengenezwa, kulikuwa hakujagundulika utaalamu wa kuunganisha picha na sauti, hivyo sinema ...