Add Your Blog | | Signup
SANAA YA LUGHA · 4M ago

2011 in review

The WordPress.com stats helper monkeys prepared a 2011 annual report for this blog. Here’s an excerpt: A San Francisco cable car holds 60 people. This blog was viewed about 2,200 times in 2011. If it were a cable car, it would take about 37 trips to carry that many people. Click here to see the [...
0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 6M ago

MWENYE MATUSI

Yako majina ya vitu, mengine yasiyotajwa, Yashangaza kuna watu, wenye uovu kujawa, Waona kuwa si kitu, ni kama wanaolipwa, Thawabu yako motoni, sikia mwenye matusi.   Mtu sio hayawani, anatumia akili, Kuboboka hadharani, huwa ni kwake katili, Matusi siwe kinywani, kama lusu tafadhali, Thawabu yako m
0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 6M ago

STATS

Thanks so much my readers. Achieving 3000 stats is impressive.
0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 1Y ago

SAMUEL MWENDA CV

0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 1Y ago

NIPE NAFASI MHARIRI

Nipe nafasi mhariri, mawazo yangu sikika, Lipate kuwa dhahiri, neno lilokusudika, Nikupe langu shairi, gazetini kuandika, Nipe nafasi mhariri, nisomeke gazetini. Nipe nafasi mhariri, gazetini kuandika, Wasifu wa mshairi, Musa Mzenga kutundika, Kuyatunga mashairi, mpaka nikaelimika, Nipe nafasi mhari
0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 1Y ago

JOGOO HAWI JONGOO

JOGOO HAWI JONGOO Majina yapo ya vitu, hata yakiwa vitate, Havitafanana katu, japo majina uite, Hata kishikwa na kutu, kumwogopea siate, Jogoo hawi jongoo, huishi kuwa jogoo. Jogoo umbile lake, wadudu kuwabugia, Ukware kipawa chake, vitembe wakatagia, Kuwika laana yake, kiburi kamuingia, Jogoo hawi
0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 1Y ago

MAJI UKIYAVULIA

MAJI UKIYAVULIA, Katiba tumepitisha, kwa moyo wetu mmoja, Ingawa tumebakisha, tujiunge kwa pamoja, Ukabila ukaisha, tuwe kikundi kimoja, Maji ukiyavulia, huna budi kuyaoga. Yaliyopita si ndwele, tuyagange ya waleo, Akili zetu ni nywele, zitufikishe upeo, Tupate kuenda mbele, ndipo tuwe kivutio, Maji
0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 1Y ago

KIUMBE

KIUMBE Kiumbe, una hadhi gani? Kumbe, hujijui u nani? Mjumbe, waringiya nini? Ujumbe, wakuhusu nini? Uimbe, wimbo wa wahuni, Pombe, itakulaza chini, Kijembe, tapigwa kwa kani, Uvimbe, nundu mgongoni. Jipambe, nguo za katani, Pembe, zitie kichwani, Utambe, jae duniani, Vikembe, ujaze nyumbani. Kiumbe
0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 1Y ago

JIRANI

JIRANI Jirani wataka nini, nikupe ukatulie, Sione mi maskini, sikia uzingatie, Hutosheki maishani, jaribu ufikirie, Una pembe na mkia, situdanganye hauna. Umesukuma mpaka, kuchukua shamba langu, Meniacha nikimaka, moyo mejaa uchungu, Maji yale ya masika, ukayelekeza kwangu, Huna akili kichwani, situ
0 Vote Up · Share
SANAA YA LUGHA · 1Y ago

USTADHI

USTADHI Ustadhi mwawataja, walio nao ujuzi, Waliovuka daraja, kuwa ndio wamaizi, Mnawapiga pambaja, kwa wingi wa utukuzi, Kiwa lugha na wenyewe,wengine wafanya nini? Mwahesabu ustadhi, wa sasa na wasifika, Watunzi walio hadhi, kumbini waliowika, Walochopoa mahadhi, kwa ndimi zilizowaka, Kiwa sisi ha
0 Vote Up · Share
More Stories